
Leo katika makala yetu ya Mwanga wa Kiswahili, tunaangalia jinsi wazungumzaji na watumiaji wa lugha ya Kiswahili tunavyofanya makosa katika Kiswahili.
Labda kwa kutaka au kwa mapuuza vilevile labda ni mazoea yetu. Makosa haya ni kama vile:
- Mawe imeisha au mawe zinafinya mguu/mawe zimejaa hapa.
Neno mawe liko katika ngeli ya LI-YA kwa hivyo neno mawe ni wingi wa jiwe ambao ni umoja. Katika sentensi au mazungumzo ni bora na sahihi kusema;
Taarifa nyingine: Mwanga wa Kiswahili: Matumizi ya neno kwa
Taarifa nyingine: Kurunzi ya Kiswahili: Ni nini maana ya lugha ya Kiswahili?
Sahihi ni tunasema;
Matunda moja imeoza / imekulwa/ haijaiva n.k. Tunda lipo vilevile katika ngeli ya LI-YA. Tunda-umoja na matunda- wingi. Katika sentensi sahihi tunasema;
- Mashamba zilinuniliwa/ziliuzwa/ zilililimwa n.k ni makosa. Sahihi katika matumizi tunasema;
- Choo zinajengwa /zimefungwa/zimechafuka n.k. makosa
Choo - umoja na vyoo - wingi ngeli ya KI-VI. Sahihi katika matumizi ni;
Haya ni baadhi ya makosa ya mazoea au mapuuza katika Kiswahili. Majaliwa tutazidi kunyoosha. Kumbuka Kiswahili ndio fimbo ya Mwafrika.
Makala Titus Sakwa mwalinu, mwandishi na mchanganuzi wa Kiswahili.
Chanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdjZn52g5ZmpLCZnpyubsPAZqKiq6eWtaq4yGakmqOfqK5uxcBmpJqyn5qubrfAraCkmV2irrXBzKKxomWplnqtwcahmGaxkWK4qr%2FWmp%2BipJljtbW5yw%3D%3D